News

HATUA ya wanawake 13 kujitokeza kugombea urais na nafasi ya mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, imetajwa kuwa ishara njema ya kuonesha kukua kwa usawa wa kijinsia nchi ...