Kikosi cha mamluki cha Wagner cha Urusi kinashutumiwa kuwa na uhusiano tofauti wa kibiashara na kijeshi na Sudan, lakini kundi hilo linakanusha kuhusika kwa vyovyote vile katika mzozo wa sasa nchini ...
Polisi nchini Zambia wamewakamata wanaume wawili ambao "inadaiwa walipatikana wakifanya ngono", hiyo ni kwa mjibu wa gazeti linalomilikiwa na serikali ya nchi hiyo Times of Zambia. Watu hao wawili ...
Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es ...
Nchini Kenya mfumo wa elimu na mitihani wa 8-4-4 umefikia kikomo huku wanafunzi wa shule ya msingi wakifanya mtihani wa mwisho wa kumaliza darasa la nane, KCPE. Baada ya sasa, wanafunzi wa shule ya ...
Uingereza imeishutumu Iran leo kwa kuvuruga uchumi wa dunia, wakati wanadiplomasia kutoka nchi zaidi ya 40 wakifanya mazungumzo ya kuufungua tena Mlango Bahari wa Hormuz. Uingereza imeishutumu Iran ...